REAL MADRID WAIPIGA AC MILAN 3-1 NA KUTWAA KOMBE LAO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID WAIPIGA AC MILAN 3-1 NA KUTWAA KOMBE LAO

Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos na Marcelo wakiinua Kombe la Bernabeu baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Karim Benzema dakika ya pili, Gareth Bale dakika ya 45 na ushei na Borja Mayoral dakika ya 90 na ushei, wakati la Milan limefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya nne Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More