REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 3-0 SANTIAGO BERNABEU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 3-0 SANTIAGO BERNABEU

Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 58 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AS Roma usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi G Uwanja wa Santiago Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Francisco Roman Alarcon Suarez 'Isco' dakika ya 45 na Mariano Diaz dakika ya 90 na ushei ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More