REAL MADRID YAMTAMBULISHA BEKI MPYA, MFARANSA FERLAND MENDY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID YAMTAMBULISHA BEKI MPYA, MFARANSA FERLAND MENDY

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi jezi ya klabu hiyo beki Mfaransa, Ferland Mendy leo wakati wa utambulisho wake Uwanja wa Santiago Bernabeu kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 49 kutoka Lyon ya Ufaransa. Mendy anakuwa mchezaji mpya wa tano kujiunga na Real Madrid baada ya Luka Jovic, Eden Hazard, Eder Militao na Rodrygo, hivyo kumfanya kocha Mfaransa Zinedine Zidane awe ametumia jumla ya Pauni Milioni 300 hadi sasa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More