REAL MADRID YAMTANGAZA RASMI COURTOIS KIPA WAKE MPYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID YAMTANGAZA RASMI COURTOIS KIPA WAKE MPYA

KLABU ya Real Madrid imethibitisha kumsajili Thibaut Courtois kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 35 na mkataba wa miaka sita.
Kipa huyo atakamilisha vipimo vyake vya afya kesho na kutambulishwa makao makuu, Uwanja wa Santiago Bernabeu Saa 6:00 mchan, kabla ya kwenda kwenye mkutano na Waandishi wa Habari.
Mateo Kovacic atahamia upande mwingine kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu mara dili la Courtois litakapokamilika.
Taarifa ya Chelsea imesema; "Chelsea na Real Madrid usiku huu zimekubaliana vipengele vya uhamisho wa moja kwa moja wa Thibaut Courtois iwapo makubaliano binafasi yatafikiwa naye akifaulu vipimo vya afya 

Thibaut Courtois anajiunga na Real Madrid kutokChelsea 

"Dili hili likikamilika Mateo Kovacic atajiunga na Blues kwa mkopo wa muda mrefu,".
Mzuia michomo hiyo wa kimataifa wa Ubelgiji amekuwa akihangaikia kuondoka Stamford Bridge kipindi chote cha majira ya joto.
Alifikia kugoma kujiunga na timu hiyo na hakurejea kujiunga na Chelsea kwa maandalizi ya ... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More