REAL MADRID YATHIBITISHA KUMSAJILI HAZARD KWA PAUNI MILIONI 130 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID YATHIBITISHA KUMSAJILI HAZARD KWA PAUNI MILIONI 130

Real Madrid imethibitisha kumsajili Eden Hazard kwa dau la Pauni Milioni 130 akisaini mkataba wa miaka mitano 

TAKWIMU ZA HAZARD AKIWA NA CHELSEA Mechi alizocheza: 352Mabao aliyofunga: 110Pasi za mabao: 92Mataji aliyoshinda:  Ligi Kuu (2014-15, 2016-17), Kombe la FA (2017-18), Kombe la Ligi (2014-15), Europa League (2012-13, 2018-19)KLABU ya Real Madrid imethibitisha kumsajili Eden Hazard kwa dau la Pauni Milioni 130 akisaini mkataba wa miaka mitano na itamtambulisha baadaye akikamilisha vipimo vya afya.
Hatimaye Chelsea imekubali kumuuza Mbelgiji huyo baada ya vigogo hao wa Hispania kukubali kulipa dau lililotakiwa na kocha Mfaransa, Zinedine Zidane amempata mchezaji ambaye amekuwa akimuhitaji sana Santiago Bernabeu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amesaini mkataba mrefu na Real Madrid na ndiye atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi, kwani mshahara wake ni Pauni 400,000 kwa wiki.... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More