REAL MADRID YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA, YACHAPWA 4-1 NA AJAX BERNABEU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA, YACHAPWA 4-1 NA AJAX BERNABEU

David Neres akipiga shuti kumtungua kipa Thibaut Courtois kuifungia bao la pili Ajax dakika ya 18 baada ya kupokea pasi ya Dusan Tadic katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Real Madrid usiku wa jana kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Ajax yamefungwa na Hakim Ziyech dakika ya saba, Dusan Tadic dakika ya 62 na Lasse Schone dakika ya 72, wakati la Real Madrid limefungwa na Marco Asensio dakika ya 70.
Kwa matokeo hayo, Ajax inasonga mbele kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-3 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Amsterdam Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More