Rekodi zinambeba Juuko Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rekodi zinambeba Juuko Simba

SIKU zote namba huwa hazidanganyi. Wakati mashabiki wa Simba wakiugulia kufuatia taarifa za kukosekana kwa nyota wao, Erasto Nyoni katika safu ya ulinzi, Juuko Murshid aliyetajwa kuchukua nafasi yake anaonekana kuwa mtu sahihi zaidi.


Source: MwanaspotiRead More