Rich Mavoko Afunguka Baada Ya Kuwaburuza WCB BASATA - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rich Mavoko Afunguka Baada Ya Kuwaburuza WCB BASATA

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Rich Mavoko amefunguka kwa mara ya kwanza na kuongelea sakata lake na uongozi wake wa zamani WCB.


Siku ya jana taarifa zilisambaa kuwa Rich Mavoko amepeleka kesi yake mbele ya Baraza la Sanaa (BASATA) baada ya Tetesi za wiki kadhaa kuwa ameamua kujitoa WCB.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rich Mavoko amesema kuwa anashukuru kukutana na BASATA na kupata elimu ya kutosha huku akiwamwagia sifa kuwa hao ndio maana halisi ya walezi wa sanaa yetu nchini Tanzania.Nimejifunza vingi ila la muhim  kabisa  nimeona Umuhim wa kukaa karibu na  walezi wetu mana changamoto ni nyingi na  kuna mengi ila yote mnaweza yajua kama tukiwa karibu nanyi leo mmenipa maana ya neno mama ni mama ata kama ni kilema, ata iweje nyinyi ndo walezi wasanaa Yetu Niseme Tu Asante #Basata


A post shared by Billionaire kid£££ (@richmavoko) on Aug 9, 2018 at 10:16am PDT

Siku ya jana Rich Mavoko alikutana na Mkurugenzi Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza ambapo amepeleka ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More