RIDHIWANI KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RIDHIWANI KIKWETE AWAPONGEZA BENK YA NMB.


Na Shushu Joel,Chalinze.
MBUNGE wa jimbo la chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani pwani Ridhiwani Kikwete ameipongeza Benk ya Nmb kwa juhudi zao za kutoa misaada kwa jamii ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokuwa zikiwakabili wanajamii.

Akitoa pongezi hizo jana, katika kata ya kiwangwa alipokuwa akipokea vifaa mbalimbali vya hospital vilivyotolewa na benk hiyo,Ridhiwani alisema kuwa awali hospital hiyo ilikuwa na changamoto ya vitanda kwa ajili ya kinamama kuweza kujifungulia lakini kutokana na msaada huo tatizo hilo limebaki kuwa ni historia .

“Naipongeza benk ya Nmb kwa kutambua thamni ya kinamama wa chalinze ingawa katika nchi yetu kuna changamoto nyingi sehemu zingine lakini nyie mmeamua kutuletea misaada huu katika halmashauli yetu ya chalinze”Alisema Ridhiwani

“Mimi nawatia moyo tu kwa niaba ya wananchi wa chalinze msichoke kutusaidia kwani mahitaji yetu bado ni mengi ingawa nasi kama serikali tunapambana ili kuihakikisha kinamama wanajifungua bila matatizo y... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More