RIPOTI: Fahamu majukumu na mkwanja wanaoingiza mameneja wa Diamond Platnumz kwa show moja - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RIPOTI: Fahamu majukumu na mkwanja wanaoingiza mameneja wa Diamond Platnumz kwa show moja

Kwa sasa ukitaja mameneja maarufu na wenye mafanikio makubwa kwa miaka mitano ya hivi karibuni kwa Afrika Mashariki kama sio barani Afrika, bila shaka huwezi kuacha kuwataja mameneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambao ni Babu Tale, Sallam na Mkubwa Fella.


Kutoka kushoto ni Babu Tale, Sallam, Diamond Platnumz na Mkubwa Fella.


Umaarufu wao haukuja kwa bahati mbaya bali ni kutokana na kazi kubwa za ubunifu wanazozifanya kila siku za kuhakikisha msanii wao Diamond anatoka hatua moja kwenda nyingine kimaendeleo na hilo halina ubishi kwani matokeo yake kila mmoja anayaona.


Diamond Platnumz anakuwa ni msanii wa kwanza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na Mameneja watatu na wote tangu awe nao haijawahi kutokea tofauti yoyote ile kwenye utendaji kazi wao na kila siku anazidi kukua na kufanikiwa zaidi katika kazi yake ya muziki.


Unaweza ukajiuliza ni nini? haswa majukumu ya mameneja hao wote watatu?


Ni swali ambalo limekuwa likiwatatiza watu wengi hususani mashabiki wa ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More