Rivaldo ampeleka Hazard kwa Real Madrid - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rivaldo ampeleka Hazard kwa Real Madrid

Rivaldo alisema kuwa hakuna siri kwamba Real itayumbishwa na pengo la Ronaldo na kuwa inapaswa kufanya kila liwezekanalo kumsaka mrithi wake na mtu sahihi kwa sasa atakayeziba pengo hilo ni Hazard.


Source: MwanaspotiRead More