#ROAD 2 VALENTINE; WHY DO MEN LIE??? - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#ROAD 2 VALENTINE; WHY DO MEN LIE???


Hahahahaaaa!!!!

Mniruhusu nicheke kwanza....Girls, you wanna know????

Sababu chache kwanini Wanaume ni waongo hizi hapa:

1. WANAJUA

Uongo wa Mwanaume ni kama muvi...Kabla hajadanganya anapanga angle zote na majibu,ana-anticipate ataongea nn,utamjibuje,utamuuliza nn,na atakujibu nini...Wanawake hamuwezi,huwa mnapanic,na siku zote ukipanic umefeli

2. HATA TUKISEMA KWELI MNADHANI TUNADANGANYA

Hii ndo ilivyo,na inaudhi...Kwa sababu tunadanganya sana,hata pale tunaposema kweli basi nyie mnatuona wezi...So hakuna maana kusema kweli,bora tuendelee na PHD ya uongo tu-graduate

3.  WANAWAKE WANAPENDA UONGO

Japo hawasemi lakini hili tumeliprove,Wanawake ukimwambia uongo ndo anapenda...whether kwa kujua au kwa kutokujua...Ukimwambia ukweli anakuona hamnazo...Ukimwambia Mwanamke kweli utajuta....Itakuwa ndo wimbo bora wa mwaka...Masimago na Rewind button...Mwaka mzima,ukikosea tu wanarewind ulichokiri..

Waulize Wanaume waliowahi kukiri kucheat wakusimulie,wanajuta kwanini walikuwa na mahaba kuliko Bwana ye... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More