Robo ya kwanza 2018: Nokia yashika nafasi ya 5 kwa mauzo soko la Ulaya - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Robo ya kwanza 2018: Nokia yashika nafasi ya 5 kwa mauzo soko la Ulaya

Simu za Nokia zimechangia kuuza kwa asilimia 3.5 katika soko la Ulaya katika robo ya kwanza ya mwaka 2018 na kupelekea kushika nafasi ya tano kwa uuzaji wa simu nyingi. Kulingana na uchambuzi na utafiti wa kampuni ya Canalys Nokia imeuza simu milioni 1.6 na kufanikiwa kusafirisha simu milioni 6.3. Sambamba na hilo simu za [...]


The post Robo ya kwanza 2018: Nokia yashika nafasi ya 5 kwa mauzo soko la Ulaya appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More