Roma na Stamina wamejifungia wenyewe, wanatafuta kiki – BASATA - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Roma na Stamina wamejifungia wenyewe, wanatafuta kiki – BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limekanusa taarifa ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii kwamba wimbo mpya ‘Parapanda’ wa Roma na Stamina umefungiwa.


Taarifa hizo zilianza kuzagaa mara baada ya wawili hao kuitwa na Baraza hilo kwaajili ya kikao cha kujadiliana mambo mbalimbali kusuhu kanuni mpya za baraza hilo zilizotangazwa mapema jana.


Muda mchache baada ya kikao hicho Roma na Stamina alionekana wakilalamika kupitia mitandao ya kijamii kwamba waliitwa kwaajili ya wimbo wao mpya huku wakidai umeonekana una matatizo.


Mapema jana Katibu wa Baraza la Sanaa, Godfrey Mngereza, aliimbia Bongo5 kwamba wawili hao hawakuijwa kwaajili ya wimbo wao.


Akizungumza na mtandao wa Mwananchi Digital, Mngereza alisema “Labda kama wameamua kujifungia wenyewe ili kuufanya wimbo wao ujulikane na watu, lakini sisi hata hatujauona na kuupitia kama taratibu zetu zinavyotaka na mnajua tukifungia wimbo huwa tunatangaza sasa labda Roma awaonyeshe wapi tumesema hivyo,” amesema Mngereza.


Hata hivyo, ka... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More