RONALDO AFUNGA TENA JUVENTUS IKISHINDA 2-0 UGENINI SERE A - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RONALDO AFUNGA TENA JUVENTUS IKISHINDA 2-0 UGENINI SERE A

Cristiano Ronaldo akikimbilia kushangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Frosinone Uwanja wa Benito Stirpe mjini Frosinone katika mchezo wa Serie A. Bao la pili la Juve limefungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More