RONALDO APIGA NNE URENO YAIFUMUA LITHUANIA 5-1 KUFUZU EURO 2020 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RONALDO APIGA NNE URENO YAIFUMUA LITHUANIA 5-1 KUFUZU EURO 2020

Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno mabao manne dakika za saba kwa penalti, 61, 65 na 76 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Lithuania kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Vilniaus LFF mjini Vilnius. Bao lingine la Ureno lilifungwa na William Carvalho dakika ya 90 na ushei, wakati la Lithuania limefungwa na Vytautas Andriuskevicius dakika ya 28 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More