Ronaldo awekwa juu ya Messi, De gea golikipa namba 1 duniani - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ronaldo awekwa juu ya Messi, De gea golikipa namba 1 duniani

Wakati Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakiwa na wastani wa kiwango cha 94 kwenye viwango vya michezo ya video maarufu kama FIFA, Ronaldo amewekwa namba 1 licha ya kulingana na Messi.
Cristiano Ronaldo amekaa namba moja mbele ya Lionel Messi, baada ya kampuni ya EA Sports kutoa makadirio yao ya mwisho ya viwango kwenye toleo la FIFA la msimu wa 2019.


Kwanini Ronaldo amekaa juu ya Messi?


Ronaldo na Messi kwa pamoja wamepata 94 kati ya 100, suala la kasi (Ronaldo 90 vs Messi 88), Mashuti ( Ronaldo 93 vs Messi 91), na nguvu (Ronaldo 79 vs Messi 61) hivyo ndivyo vitu ambavyo vimenfaya Ronaldo kukaa juu ya Messi.Je nani atatumika kwenye kava la FIFA?


Mreno huyo ambaye mpaka sasa hajafanikiwa kupata bap lolote ndanj ya klabu yake mpya ya Juventus ndiye atakayetumika kwenye kava za FIFA la mwaka 2019.Je mchezaji ghali zaidi duniani nae vipi?


Nyota wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil Neymar anashikilia nafasi ya tatu kutokana na uwezo wake na ubunifu mkubwa na maudambwi ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More