Ronaldo azitaja tofauti zake na Messi ‘ Anajitahidi kuwa bora kila mwaka kama mimi’ Nimeshinda UEFA katika vilabu tofauti’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ronaldo azitaja tofauti zake na Messi ‘ Anajitahidi kuwa bora kila mwaka kama mimi’ Nimeshinda UEFA katika vilabu tofauti’

Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amefunguka na kuzitaja tofauti zake na winga mshabuliaji wa Barcelona Lionel Messi, Akiongea na DAZN Ronaldo amesema :-“Tofauti na Messi ni kwamba nilicheza kwa vilabu kadhaa na kushinda Ligi ya Mabingwa na vilabu tofauti,” Ronaldo alisema.”Nilikuwa mfungaji bora katika Ligi ya Mabingwa misimu sita mfululizo”


 “Hakuna wachezaji wengi walioshinda mara tano taji la Ligi ya Mabingwa, kwa sababu hii ninahisi kuwa naweza kujitambulisha mwenyewe kwenye mashindano haya.”
“Messi ni mchezaji bora ambaye atakumbukwa sio tu kwa mafanikio yake ya Ballon, lakini pia kwa kuboresha – kama mimi mwaka baada ya mwaka. “Ninaamka kila asubuhi na wazo katika kichwa changu cha mafunzo kwa lengo la kupata kitu zaidi, sio kupata pesa tu. “Asante Mungu, sina tatizo la pesa, kwa hivyo kile ninachotaka kupata ni mahali pa historia ya mpira wa miguu.”Wakati huohuo, Ronaldo pia alimpongeza bosi wa zamani wa Zinedine Zidane kwa athari... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More