RONALDO KUANZA KAZI DHIDI YA BOLOGNA COPPA ITALIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RONALDO KUANZA KAZI DHIDI YA BOLOGNA COPPA ITALIA

KATIKA hatua ya 16 Bora ya Kombe la Coppa Italia ni timu mbili tu zinatoka Serie C huku zikikutana na vilabu kutoka jijini Roma, Novara watakaocheza dhidi ya Lazio huku Virtus Entella wakicheza dhidi ya AS Roma siku ya Jumatatu.
Timu nyingine ambayo haitokei Serie A ni Benevento ambao watasafiri kuelekea Milan ambako watacheza dhidi ya Inter.
Huku ikitarajiwa kwamba vilabu vingi vikubwa vitashinda, mechi kati ya Bologna na Juventus itakuwa kivutio zaidi. Juventus tayari wako kileleni mwa Serie A wakiwa alama 9  mbele ya Napoli ambao wako nafasi ya pili.
Klabu hiyo ya jijini Turin itataka kujihakikishia ushindi dhidi ya Bologna ambao ni wa tatu kutoka mwoisho katika msimamo wa Serie A, ili wawe katika nafasi nzuri ya kushinda kombe hilo kwa mara ya 14.
Cristiano Ronaldo ataiongoza Juventus katika mchezo wa Coppa Italia dhidi ya Bologna

Kikosi cha Massimilano Allegri bado hakijapoteza mchezo wowote katika ligi za ndani kwa msimu huu, huku kikosi chao kikiwa na utajiri hasa eneo la ushambuli... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More