RONALDO LIMA ASEMA ATARUHUSIWA KESHO KUTOKA HOSPITALI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RONALDO LIMA ASEMA ATARUHUSIWA KESHO KUTOKA HOSPITALI

MWANASOKA mstaafu wa Brazil, Ronaldo Lima amewashukuru waliomtakia heri baada ya kuwekwa chumba cha wagonjwa walio kwenye uangalizi maalum katika hospitali moja kisiwa cha Ibiza kutokana na ugonjwa wa  Pneumonia.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 imeelezwa aliugua ghafla na kukimbizwa hospitali ya Can Misses visiwani humo Ijumaa jioni.
Pamoja na hayo, Ronaldo ameandika kwenye Twitter Jumapili kuwatuliza watu hofu juu aya afya yake - akisema kwamba ataruhusiwa Jumatatu. "Marafiki nilikuwa nina  homa kali ya mafua ilinipata Ibiza na ikabidi nilazwe Ijumaa, lakini naendelea vizuri. Nitaruhusiwa kesho na kurudia nyumbani. Asanteni wote kwa upendo wenu na ujumbe wenu!,"ameandika. 

Ronaldo Lima amewashukuru waliomtakia heri na kusema kwamba ataruhusiwa kesho 

Taarifa ya Kisiwa chenye kuheshimika mno, Diario de Ibiza imesema kwamba Ronaldo aliomba kuhamishiwa hospitali binafsi, iitwayo kliniki ya Nuestra Senora del Rosario kabla ya usiku mkubwa Ijumaa. 
Ronaldo ana... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More