RONALDO YUKO FITI KUELEKEA MECHI YA NNE SERIE A JUVE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RONALDO YUKO FITI KUELEKEA MECHI YA NNE SERIE A JUVE

Cristiano Ronaldo akipiga shuti wakati wa mazoezi ya Juventus jana mjini Turin kujiandaa mchezo wa Serie A dhidi ya Sassuolo kesho baada ya kucheza mechi tatu awali bila kufunga kufuatia kusajiliwa kwa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid miezi miwili iliyopita Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More