ROONEY ALIMWA KADI NYEKUNDU DC UNITED IKICHAPWA 2-1 MAREKANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ROONEY ALIMWA KADI NYEKUNDU DC UNITED IKICHAPWA 2-1 MAREKANI

Mshambuliaji Wayne Rooney akiondoka uwanjani baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 24 timu yake, D.C. United ikichapwa 2-1 na New York Red Bulls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani Uwanja wa Audi Field mjini Washington DC hiyo ikiwa kadi ya pili nyekundu kwake tangu ahamie Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More