Rooney amchana kocha wa Man United Ole gunnar, asema hata akiwasajili Ronaldo na Messi hawezi kutatua tatizo la timu yake, ampa mbinu mbadala - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rooney amchana kocha wa Man United Ole gunnar, asema hata akiwasajili Ronaldo na Messi hawezi kutatua tatizo la timu yake, ampa mbinu mbadala

Usajili wa nyota wa soka duniani akiwemo Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Gareth Bale na Sergio Ramos hauweza kutatua matatizo katika klabu ya Man United, kulingana na nahodha wake wa zamani Wayne Rooney. Rooney, ambaye anaichezea klabu ya DC United nchini Marekani , hadhani kwamba kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kitaweza kushindana na timu nyengine msimu ujao.”Kitu cha kwanza ambacho Ole anafaa kufanya ni kujenga kikosi hicho na sidhani kuleta mchezaji mwenye thamani £100m kutawasaidia wachezaji waliopo” , alisema nahodha huyo wa zamani wa timu ya Uingereza, 33.


Akizungumza na BBC aliongezea, ”,Ole angenunua wachezaji walio na thamani ya kati ya £30-40m wenye uwezo na baadaye kukijenga kikosi chake kutokana na wachezaji watano ama sita.


Unaweza kuwaleta wachezaji kama Messi, na mshambuliaji wa Juventus Ronaldo , Ramos na Bale lakini itakugharimu £350m na baada ya miaka miwili fedha hizo zimepotea.


Mshambuilaji wa Barcelona Lionel Messi na yule wa Juventus Ronaldo wameshinda... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More