ROONEY MAZOEZINI ENGLAND IKIJIANDAA KUIVAA MAREKANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ROONEY MAZOEZINI ENGLAND IKIJIANDAA KUIVAA MAREKANI

Mshambuliaji wa DC United ya Marekani, Wayne Rooney akifurahi na mchezaji mwenzake wa zamani wa Everton, Ross Barkley katika mazoezi ya timu ya taifa ya England jana Uwanja wa St George's Park kujiandaa na mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya Marekani Alhamisi Uwanja wa Wembley. Rooney amekwishastaafu soka ya kimataifa, lakini ameitwa maalum tu kwa ajili ya mchezo huo, ambao utakuwa wa 120 kwake kuichezea Three Lions ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More