Rosa atoa ufafanuzi picha yake Dc Jokate Mwegelo - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rosa atoa ufafanuzi picha yake Dc Jokate Mwegelo

Mwanadada Rosa Ree amefunguka  na kuelezea kwa undani juu ya picha inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha yeye akiwa amepiga picha na mheshimiwa Dc Jokate Mwegelo miaka ya hapo nyuma.


Picha hiyo ambayo watu wengi walidhania kuwa kutakuwa kuna wimbo mpya katia ya wadada hao wawil, Rosa Ree amekanusha na kusema kuwa waiwli hao waliwahi kufukiria kufanya project moja ya nywele ambayo ilikuwa chini ya Jokate na kampuni yae ya Kidoti.


Rosa Ree anasema kuwa “actual sio ngoma , ilikuwa ni project ya nywele tulikuwa tunataka kufanya na nina kumbuka kipindi hicho nilikuwa the industry,tulikuwa tunaweka brand ya nywele na tulitaka kuweka brand ya rosa ree na kidoti kwa pamoja.”


The post Rosa atoa ufafanuzi picha yake Dc Jokate Mwegelo appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More