Rosa Ree Afunguka Hakuna Mwanaume wa Kumhonga - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rosa Ree Afunguka Hakuna Mwanaume wa Kumhonga

Mwanadada anaefanya vizuri katika kiwanda cha muziki kwa upande wa rap ,Rosa ree amefunguka na kusema kuwa katika maisha haliyoishi mpaka kufikia sasa hivi aona kama kuna mwanaume anaeweza kumhonga hela nyingi za yee kuridhika nazo .


Mwanadada huyo ambae amekuwa akionekana na muonekano wa kiume kila siku na imekuwa ikisemekana kuwa hana mwanaume katika maisha yake ya kimahusiano anasema kuwa haoni kama mwanaume anaweza kumpa ela yoyote inayoweza kumridhisha.


Pia rosa ree anasema kuwa huwa hawaelewi sana wanaume wanapokuja na kumhonga kwa sababu anakuwa haelewi kama  ndio wanaonga au wanajaribu ” mimi sihongeki , kwaio hata mtu akinionga huwa nashindwa kuelewa ni kwamba annihonga au ananijaribu.”


The post Rosa Ree Afunguka Hakuna Mwanaume wa Kumhonga appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More