Rosa Ree Akiri Kuacha Pombe Baada ya Kuona Haina Nafasi Katika Maisha Yake. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rosa Ree Akiri Kuacha Pombe Baada ya Kuona Haina Nafasi Katika Maisha Yake.

Mwanadada Rosa Ree anaetikisa kwa sasa katika anga za muziki wa hip-hop nchini amefunguka na kusema kuwa japokuwa hapo awali alikuwa akinywa sana pombe lakini alikuja kugundua kuwa hatakiwi kutawaliwa nayo hivyo aliamua kuachana  nayo.


Akiongea na EATV, rosa reee anasema “unajua pombe ukiipa nafasi kubwa ya kutawala maisha yako hautaweza kuiacha hata mara moja, ila wewe ukiitawala pombe unaweza kuiacha na ndio maana hata mimi niliweza “


Mbali na kuwa msanii wa hip-hop rosa ree amekuwa na muonekano wa tofauti sana na wasanii wengine wa kike hata anavyosema kuwa atumii kilevi inaweza kuwa ngumu baadahi ya watu kuamini kutokana na muonekano.


The post Rosa Ree Akiri Kuacha Pombe Baada ya Kuona Haina Nafasi Katika Maisha Yake. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More