Rosa Ree Asema Sababu ya Kufeli kwa Show Yao . - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rosa Ree Asema Sababu ya Kufeli kwa Show Yao .

Wiki kadhaa zilizopita iliripotiwa  kuwa kulikuwa na show iliyofanyika nje ya nchi iliyomhusisha Rosa Ree na Aslay ambapo walilalamikiwa kwa sababu hakukuwa na mashabiki katika ukumbi waliofanyia show.


Inasemekana kuwa uwaja huo ulikuwa mtupu kabisa na haikuwa kawaidia kwa watu kutokutoka katika show za wasanii wa kitanzania kwa sababu nyimbo za huku zinapendwa sana na watu wa je .


Hata hivyo baada ya kuulizwa na XXL , rosa ree alijibu sababu kubwa ya kufeli kwa shoo hiyo ni kutokana na maanadalizi machache ya promoto na ukizingatia kuwa hawakuwahi kufanya kazi hawali na promota huyo.


akiongea na XXL,  anasema “show haikuwa poa na watu hawakuwa wengi kwa sababu promota hakujiandaa vizuri, yeye hakufanyaia matangazo nakumbuka baada ya kupata visa ndio alianza kutangaza show.watu waliojua kama kuna show walikuwa wachache, lakini mimi ni mfanya baishara najua kuna kupata na kukosa , ni promota wa kwanza kufanya nae kazi lakini aliwahikufanya kazi na Mh Temba nadahani aliamini kuwa sho... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More