ROSE AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA KIJANA MKENYA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ROSE AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA KIJANA MKENYA

Muimbaji mkongwe wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amefungukia uhusiano wake na Kijana Steven Kasolo wa nchini Kenya ambaye ndiye anayeishi naye kwa sasa nchini humo kuwa ni wa mama na mtoto na si vinginevyo.

Rose Muhando na Steve Kasolo

Akizungumza na moja ya mtandao  mmoja nchini humo, Rose ameitaka jamii ielewe kuwa, kukutana kwake na Steve Kasolo ni kusudi la Mungu na hakuna kitu kingine Zaidi.

“Jamii nataka ielewewe kamba, kasolo ni mtumishi wa Mungu na mimi alinisimamisha kwake kama mama naye kama kijana wangu kwahiyo ukionona nafanya kaza na kasolo nafanya kazi ya sehemu yangu kasababu mungu ndiye aliyeamuru nifanye , kwahiyo jamii naoma ielewe nafanya kazi kwa utukufu wa mungu na sivinginevyo” Rose alieleza.

“Nataka kuiabia jamii kuwa kukutana na huyu kijana nikusudi la Mungu sio bahati mbaya au kufanya kazi  na  steve kasolo sio bahati mbaya kama watu wanavyofikiria labda labda..hakuna labda, nikusudi la Mungu aliyehai na nimapenzi ya mungu name nafanya  kwakutimi... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More