ROSTAM WAINOGESHA IOKOTE YA MAUA SAMA KWENYE JUKWAA LA TIGO FIESTA MOSHI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ROSTAM WAINOGESHA IOKOTE YA MAUA SAMA KWENYE JUKWAA LA TIGO FIESTA MOSHI

 Kundi la Rostam linalowashirikisha wasanii wawili Roma (Kushoto) na Stamina (kulia) jana walipanda jukwaani kuimba pamoja na msanii Maua Sama (picha ya chini) wimbo unaotamba kwa sasa ujulikanao kama IOKOTE kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
 Msanii WhoZu nae hakuwa nyuma kutoa burudani.  Richard Mavoko - Richie Mavoko nae hakuwa nyuma kutoa burudani. Msanii Rapa Rosa Ree akiimba kwa staili ya kufokafoka kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi usiku wa kuamkia jana.Msanii Nandy akionesha jinsi gani anaweza kuteka mashabiki kwa namna alivyokuwa anaimba nao kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi usiku wa kuamkia Jana.
Kundi la Rostam linalowashirikisha wasanii wawili Roma na Stamina jana walipanda jukwaani kuimba pamoja na msanii Maua Sama wimbo unaotamba kwa sasa ujulikanao kama IOKOTE kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote li... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More