Rostand aishika pabaya Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rostand aishika pabaya Yanga

ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Youthe Rostand ameishika pabaya klabu hiyo baada ya kuweka wazi mipango yake ya kuiburuza Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) iwapo mabosi wake wa zamani watashindwa kumlipa fedha kama walivyokubaliana wakati wa kuvunja mkataba wake.


Source: MwanaspotiRead More