RPC SHANNA ATAJA MAJINA YA MAJERUHI WA AJALI/DC MURO ATEMBELEA MAJERUHI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RPC SHANNA ATAJA MAJINA YA MAJERUHI WA AJALI/DC MURO ATEMBELEA MAJERUHIKamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna alipotembelea eneo la oldonyosambu ajali ilipotokea jana na kusababisha vifo vya watu wawili.
Kamanda wa wa Polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shanna akitolea ufafanuzi ajali iliyotokea jana eneo la Oldonyosambo barabara ya Arusha Namanga.,Kulia kwakwe ni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani hapa Joseph Bukombe
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro akipokea maelezo kitoka kwa Dkt. Wa Halmashauri ya Arusha Petro Mboya katika hospital ya Seliani
Mkuu wa wilaya ya Arumeru jerry Muro akimjulia hali mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika hospitali ya Seliani Ngaramtoni.
Mganga mkuu wa Halmashauri ya Arusha Dkt Petro Mboya akifafanua jambo kwa mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro.


Na. Vero Ignatus, Arusha

Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limetoa onyo kali kwa madereva ambao wanendesha magari bila kufuata sheria usalama barabarani na kusababisha ajali katika kupoteza maisha ya watu sababu ya uzembe.

Onyo hiyo imetolewa leo na Kamanda w... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More