Ruby aAjikita Katika Penzi Jipya na Msanii Mwenzie - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ruby aAjikita Katika Penzi Jipya na Msanii Mwenzie

Mwanadada Ruby mapenzi yamemkaba kooni na kushindwa kujizuia kufanya siri tena kwa kile alichamoa kukuifanya katika ukurasa wake wa instagram baada ya kutoa povu juu ya watu wanaomsema kuhusu mwili wake kuwa umekonda kila siku.


Ruby ambae alisema kuwa amechoka kila siku kusikia watu katika mitandao ya kijamii kuwa wanamsema mwili wake unazidi kupungua, huku akisema kuwa maneno hayo hajali ilimradi kusah (ambae alimtag) akiupenda kwake inatosha.


ooooooh mara kakonda mlishawahi kuninenepesha, nyie ni nani sasa kuusema mwili huu..mwili una wenyewe huu akiupenda @kusah   basi inatosha .ISIWE TABU TUKUTANE NGOME KONGWE.


Kwa maneno hayo uenda ikawa hii ni moja ya njia ambayo ruby ametumia kutuonyesha kuwa kwa sasa amejiweka hapo.


 


The post Ruby aAjikita Katika Penzi Jipya na Msanii Mwenzie appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More