“Ruby Inabidi Ujifunze Kula na Kipofu”-Vanessa Mdee - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Ruby Inabidi Ujifunze Kula na Kipofu”-Vanessa Mdee

Msabii wa muziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee maarufu Kama Vee Money ameibuka na kumtaka Msanii mwenzake Ruby kujishusha kwa watu na kupunguza kiburi.


Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma dhidi ya Ruby kuwa ni mgumu kufanya naye kazi kwani Ana kiburi kupitiliza kwaiyo inakuwa ngumu kwa wasanii wenzake na wadau kufanya naye kazi.


Siku ya jana Mange Kimambi alimchana Ruby kuhusu taarifa za kuwa mjeuri na kiburi mbele ya watu wanaomsaidia na kudai Ana kipaji sana lakini hafanikiwi kwa sababu watu wengi hawataki kufanya naye kazi kwa ajili ya kiburi chake.


Vanessa Mdee naye ameibuka na kumpa ushauri Ruby na kumtaka ajishushe anapokuwa na watu ili azidi kufanikiwa zaidi.


Kupitia Instagram, Vanessa Mdee amemuandikia maneno haya Ruby:Leo nimekutana na Ruby na tumeongea sana kuhusu hii ishu yake, Nakupenda sana Ruby tupige kazi mama kula na kipofu, kuna muda mwingine jifunze kukaa kimya halafu acha muziki wako uongee zaidi fanya kwa manufaa yako na Mtoto wako”.Ruby anatarajia kujifungua Mtot... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More