Rungu la TCRA kwenye simu za mkononi - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rungu la TCRA kwenye simu za mkononi

Inaonekana zoezi la kufungua simu ambazo sio halisi halikufikia tamati kwani idadi mpya imetolewa ambapo rungu la TCRA limezifika simu zaidi ya nne elfu. Miaka kadhaa imepita tangu mamlaka ya mwasiliano Tanzania (TCRA) kufungia simu ambazo zilibanikika kutokuwa halisi na kwa kiasi fulani kuna watu waliathirika kutokana na zoezi hilo. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa [...]


The post Rungu la TCRA kwenye simu za mkononi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More