RUS 2018: Bega la mkimbizi halichoki! Mkimbizi Modric amebeba mengi! - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RUS 2018: Bega la mkimbizi halichoki! Mkimbizi Modric amebeba mengi!

Makala tunazoziandika kwenye huu ukurasa mara kadhaa tunalenga kuwainua na kuwatia moyo baadhi ya wachezaji wa changa. Huko Ulaya usidhani kwamba kila mchezaji anatokea maisha mazuri. Wapo ambao wana maisha magumu sana kisoka na kimaisha.


Usikate tamaa wala usiyaonee haya mabega yako.


Luka Modric kwenye mchezo wao dhidi ya Denmark alimfuata kocha wake Zlatko Dalic na kumwambia naenda kupiga tuta. Kocha alishtuka kidogo kwani tayari Modric alikwisha kosa penati kwenye mchezo ule. Huo ndio tunaita ujasiri wa kiume. Usiogope kujitetea au kubeba majukumu yalipo mbele yako kisa tu uliwahi kuanguka.Kiungo huyu wa Croatia ambaye ndiye nahodha wa Croatia, hatuwezi kusema tusimjumuishe kama nguzo imara kwa Lod Blancos (Real Madrid) baada ya kushinda Champions League mara tatu mfululizo.

Tuna kila sababu ya kutambua mchango wake.


Alijunga na Madrid akitokea Tottenham mwaka 2012 na kujitengenezea jina kubwa zaidi duniani kama kiungo bora aliyekamilika. Ferguson alisuasua kumchukua na Real ilimp... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More