RUS 2018: kiburi na majivuno, yamekatisha ndoto ya kucheza fainali - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RUS 2018: kiburi na majivuno, yamekatisha ndoto ya kucheza fainali

Uvumilivu ni silaha kubwa sana kwenye mafanikio ya kila mwanadamu. Subira ni akiba. Ukiwa na haraka sana unapoteza vingi. Unaweza ukajaliwa vingi lakini unaposhindwa kuwa mvumilivu na kukubaliana na mazingira basi unapoteza kila kitu.


Si mnamkumbuka Carlos Teves? Alikuja kama staa ila kwa sasa hakuna mwenye habari nae? Alikosa uvumilivu, hakuwa tayari kusikilia. Subira kwake ilikuwa mtihani.“Croatia walikwenda kombe la dunia na washambuliaji asilia wawili tu. Mario Mandzukic, jamaa aliyewaliza Waingereza na Nikola Kalinic anayekula bata gizani kwa sasa. Ilikuwa ni riski kubwa sana kwa Croatia kwani hawakua na mshambuliaji mwingine mzuri zaid yao.


Tatizo linapokuja ujue linakuja na fursa.


Penda kutumia changamoto za maisha kama njia ya kufanya kitu kikubwa zaidi. Kalinic alishindwa kutumia nafasi ya majaribu aliyoyapata. Aliabudu hisia zake. Alijiona kama hakutendewa haki.


Nacer Chadli anapaswa kuwa fundisho la kwanza kwa Kalinic. Nacer alitokea benchi mchezo wao na Japan. Hakuna al... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More