RUS 2018: Les Français sont champions du monde/ Ufaransa watwaa ubingwa wa dunia - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RUS 2018: Les Français sont champions du monde/ Ufaransa watwaa ubingwa wa dunia

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ni safari ya mwezi mmoja ndani ya Urusi. Mabibi na Mabwana namleta kwenu mshindi wetu wa kombe la dunia 2018 UFARANSA!


Michezo 64 magoli 169 (2.59 kwa mechi. Asilimia 43% ni magoli yaliyopatikana kwa mipira ya kutengwa (adhabu na kona) kati ya magoli 169 ikiwa ni mabao 73. Hii ni idadai kubwa zaidi yokea mwaka 1966.


Mahudhurio yalikuwa 3,033,757 (46,885 kwa kila mechi)Mfungaji bora ni Harry Kane (6 magoli)Hizi ni fainali ya 21 tokea michuano hiyo. Hii ni michuano ya mara ya kwanza kufanyika ulaya mashariki na ni michuano ya 11 kufanyika ulaya.


Jambo la kuvutia zaidi katika michuano hii ni VAR. Wapo walioipokea na wapo walioiktalia mbali.Croatia wamepoteza mchezo huu fainali ikiwa ni mara yao ya kwanza kufika hatua hiyo. Hii ni fainali ya 3 kwa ufaransa wakishinda moja mwaka 1998 na kupofeza ule wa mwaka 2006.


Mchezo wa leo mabao yamefungwa na


(Mandzukic 69)


(Mbappe 65)


(Pogba 59)


(Griezmann 38pen)


(Mandzukic 18 kujifunga.Mambo yalikuwa hivi


⏰ 18′ ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More