RUS 2018: Mambo 20 tuliyojifunza Kombe la dunia - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RUS 2018: Mambo 20 tuliyojifunza Kombe la dunia

1. Maradona anapaswa kupumzika. Madawa sio Maziwa ya pakti. Umri umeenda. Ana Mengi ya kufanya kuliko kujidhalilisha


2. Senegal walikuwa na nguvu na udi. Lakini wametukumbusha kwamba, msuli tembo mafanikio kisoda. Walikuwa na uwezo lakini hawakucheza kitimu.


3. Kuna Ronaldo mmoja, kuna Messi mmoja na kuna Luka Modric mmoja tu4. Mzimu wa mabingwa ulionekana kwenye chumba cha malaika Joachim Low. Low hakutaka kusikia ishauti wa yeyote alijiona yupo sawa katika maamuzi yake yote.


5. Argentine wana matatizo kama aliyo nayo Maradona. Hakuna dhuluma inayodumu.


6. Neymar alipaka sana poda mwisho wa siku kaishia kufanana na yale maajini ya bongo movie (Kituko)


7. Waingereza walikwenda kwenye sherehe kupitia mlango wa uwani hawakujua kama kwenda kula lazima uwe na tiketi.8. Iran, Japan na Korea wametupita afrika mbali sana. Kuna uwezekano mchezaji wa Asia akabeba Ballon miaka 10 ijayo kuliko timu ya afrika kufuzu hatua ya Robo fainali.


9. Kombe la dunia lilikuwa na wachezaji wenye asili ya ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More