RUS 2018: Raisi wa Ufaransa atoa ofa kwa Koscienly, Deschamps na hatma ya taifa lao - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RUS 2018: Raisi wa Ufaransa atoa ofa kwa Koscienly, Deschamps na hatma ya taifa lao

Siku/Muda : Jumapili 15 Julai (12:00 EST).

Mahali: Luzhniki Stadium, Moscow

Chaneli: Kama sio dstv potezea

Hadharani: Tukutane Escape One, Mikocheni kwenye skrini kubwa.


Raisi wa Ufaransa Mh Macron amewaalika Laurent Koscielny & Dimitri Payet kwenye fainali za kombe la dunia. Wachezaji hawa wote walitarajia kuitwa katika vikosi vyao vya timu ya taifa lakini majeraha nayo yalikuwa yana mipango nao.


Raisi atakwenda na wachezaji hao kama wageni wake ili kupata nafasi ya kusheherekea ushindi huo.Kikosi France hakishangazi sana kuwa fainali. Wadau wengi wanasema wamecheza hovyo hasa ukilinganisha na ubota wao. Madee anasema kama ufaransa hawatabeba kombe hili wajilaumu wenyewe. Lakini Enock Bwigane anaema sio kirahisi namna hiyo, Croatia wanacheza kitimu kuliko timu yeyote.


Ningekuwa msemaji wa FFF ya Ufaransa ningewashauri wadau wa soka kama vyombo vya habari kukaa kimya. Unakumbuka sakata la waingereza la “Its Coming home” kuna rafiki yangu anaishi Birmingham Uingereza anasema ule wi... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More