Rwanda wazindua simu janja mbili, simu kupatikana kwa malipo ya taratibu (contract) - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rwanda wazindua simu janja mbili, simu kupatikana kwa malipo ya taratibu (contract)

Rwanda wazindua simu janja za kisasa na bei nafuu zilizotengenezwa nchini humo. Uzinduzi huo uliofanyika jumatatu, ulifanywa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Kampuni ya Mara Group imetambulisha simu zake mbili, Mara X na Mara Z. Simu ya Mara X itauzwa kwa Franc 175,750 za Rwanda (takribani $190, au Tsh 436,000/=) wakati Mara Z itauzwa [...]


The post Rwanda wazindua simu janja mbili, simu kupatikana kwa malipo ya taratibu (contract) appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More