RYTHM’ ya QNET kugusa maisha ya jamii za wasiojiweza. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RYTHM’ ya QNET kugusa maisha ya jamii za wasiojiweza.


Wakala wa kampuni ya QNET wkitoa msaada wenye thamani ya zaidi ya milioni 9 kwa kituo cha watoto yatima cha New life orphange centre mapema mwaka huu jijini Dar es salaam.


Kwa mujibu wa QNET, nguvu ya RYTHM inaendesha kampuni, wafanyakazi wake na wawakilishi binafsi (IRs) kuwafikisha katika mafanikio makubwa - na kutoa sadaka, hasa kwa jamii za watu wasiojiweza.  Nguvu hii inaonekana wazi kupitia shughuli nyingi za CSR ambazo QNET inaziendesha kugusa maisha ya watu wasiojiweza kupitia misaada ya hali na mali katika nchi zote ambako inaendesha shughuli zake. Nchini Tanzania, miongoni mwa manufaa yatokanayo na shughuli za QNET ni vituo viwili vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam, makao makuu ya kibiashara ya Tanzania.  Maunga Children’s Centre na New Life Orphans’ Home vyote vilipokea msaada wa vyakula vyenye thamani ya Tsh 18 Milioni, michango ambayo ilikusanywa na uongozi wa nchi mbili kama ishara ya ukarimu na upendo kutoka QNET.       Akiwa anatoa maoni kuhusu mi... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More