Saa 72 hatari ndani ya Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Saa 72 hatari ndani ya Yanga

NYOTA wa Yanga wanapaswa kujipanga vilivyo, kwani Kocha Mkuu wao, Mwinyi Zahera amesema atatumia siku tatu sawa na saa 72 kuwafua kabla ya kuwakabili Stand United katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa Jumapili hii jijini Dar.


Source: MwanaspotiRead More