Sababu Kwanini Facebook Ina Rangi Ya Bluu! - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sababu Kwanini Facebook Ina Rangi Ya Bluu!

Vingi vina rangi lakini katika maswala ya tovuti ni muhimu sana kuchagua rangi ambayo kwa namna moja au nyingine itaendana na mtandao husika. Kingine ni kwamba hata kama baadhi yetu hatujui ni kwamba kila rangi ina maana yake mbele ya macho ya watu. Facebook wamelizingatia hilo kwa kuweka rangi ya bluu katika mtandao hio lakini [...]


The post Sababu Kwanini Facebook Ina Rangi Ya Bluu! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More