Sababu Moja Kubwa Kwa Nini Biashara Inakuwa Ngumu Kwako Na Jinsi Ya Kuivuka Sababu Hiyo. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sababu Moja Kubwa Kwa Nini Biashara Inakuwa Ngumu Kwako Na Jinsi Ya Kuivuka Sababu Hiyo.

Rafiki yangu mpendwa, Je umewahi kuona kama biashara inakuwa ngumu sana kwako kufanya? Je unaona inakuwa vigumu kwa wateja kukuelewa na kununua kile unachouza? Je wateja wengi wanakuambia watarudi kununua lakini hawarudi tena? Kama umejibu ndiyo kwenye swali lolote katika maswali hayo hapo juu, basi kwa namna moja au nyingine biashara ni ngumu kwako. Wengi... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More