SABABU ZA KABILA LA WAMASAI KUKEKETA WANAWAKE, NA HALI ILIVYO SASA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SABABU ZA KABILA LA WAMASAI KUKEKETA WANAWAKE, NA HALI ILIVYO SASA

Ukeketaji ni kitendo cha kukata au kuondoa sehemu ya nje ya viungo vya uzazi vya mwanamke ambacho hufanywa na mtu maalumu ajulikanae kama ngariba ambae huwa ameteuliwa na jamii Fulani kwa lengo la kufanya shughuli ya ukeketaji kwa wanawake au mabinti wanaopatikana katika jamii hiyo.
Ruvuma Tv imepata nafasi ya kuzungumza na Masai ambaye ameelezea sababu zinazopelekea kukeketwa kwa wanawake wa kimasai na hali ilivyo kwa sasa kuhusu ukeketaji.
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More