SADAKA NETWORK YAWAOMBA WATANZANIA KUCHANGIA FEDHA KUFANIKISHA UPASUAJI WA WANAWAKE NA WATOTO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SADAKA NETWORK YAWAOMBA WATANZANIA KUCHANGIA FEDHA KUFANIKISHA UPASUAJI WA WANAWAKE NA WATOTO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
TAASISI isiyo ya kiserikali ya SADAKA Network imeunga mkono juhudi za Hospitali ya Aga Khan, Muhimbili na Taasisi ya Women to Women katika kufanikisha upasuaji wa urekebishaji (upasuaji wa urembo) kwa wanawake na watoto utakaofanyika 27 November mwaka huu. 
Hospitali ya Agha Khan, Muhimbili na Taaisis ya Women to Women ziko kwenye harakati za kuweka tabasamu kwenye nyuso za wahanga wa ukatili wa nymbani uliosababisha wahanga hao kuathirika. 
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mwanzilishi wa SADAKA Network Dkt Ibrahim Msengi amesema kuwa SADAKA Network umeamua kuunga mkono kwa kuchangisha fedha kupitia programu yake ili kufanikisha mpango huo, wameamua kutumia viongozi wa jamii na watu maarufu ndani ya Tanzania kuhabarisha wananchi wote ili waweze kuchangisha fedha ili kwa pamoja waweze kusaidia kurejesha tabasamu kwenye uso zao. 
Dkt Ibrahim amesema kuwa, ukatili wa nyumbani na ajali unaweza ukasababisha mauti au majeraha yanayo... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More