SADIO MANE APEWA JEZI ILIYOACHWA NA COUTINHO LIVERPOOL - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SADIO MANE APEWA JEZI ILIYOACHWA NA COUTINHO LIVERPOOL

Mshambuliaji Msenegali wa Liverpool, Sadio Mane akiwa ameshika jezi mpya, namba 10 atakayokuwa akivaa kuanzia msimu ujao ambayo awali ilikuwa inatumiwa na Mbrazil, Philippe Coutinho aliyehamia Barcelona Januari mwaka huu. Mane alikuwa anavaa jezi namba 19 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More