Safu ya ushambuliaji yamchefua kocha Mbao FC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Safu ya ushambuliaji yamchefua kocha Mbao FC

KOCHA wa Mbao FC, Ally Bushiri ‘Benitez’ amekiangalia kikosi chake katika mechi mbili  mfululizo walizocheza za Ligi Kuu kisha akatamka wazi kuwa wanacheza vizuri lakini tatizo liko sehemu moja tu ya ushambuliaji.


Source: MwanaspotiRead More