Sakata la mwamuzi kupewa rushwa Rwanda katika sura nyingine - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sakata la mwamuzi kupewa rushwa Rwanda katika sura nyingine

Viongozi wa FERWAFA (Katibu Mkuu wa FERWAFA Francois Regis Uwayezu na kamishna wa mashindano Eric Ruhamiza) wanaoshikiliwa kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa waamuzi waliochezesha mechi kati ya Rwanda dhidi ya Ivory Coast ili kupanga matokeo inasemekana fedha walizozitoa haikuwa ni rushwa bali walikuwa wanalipa gharama za safari za waamuzi hao.


Inaelezwa baada ya waamuzi hao kufika Rwanda toka Namibia kuna gharama ambazo zilizidi na ilitakiwa kulipwa na chama cha soka cha Rwanda FERWAFA na waamuzi hao waliomba kurejeshewa gharama hizo.


Lakini viongozi hao wa wanashangaa kwa sababu gani wanatuhumiwa kwa rushwa na kutaka kupanga matokeo ikiwa waamuzi wa mchezo huo waliomba kurudishiwa gharama zao (fidia) jambo ambalo ni kawaida.


Mwamuzi wa zamani wa Tanzania ambaye pia ni mkufunzi wa waamuzi anaetambuliwa na Caf Leslie Liunda ametoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa waamuzi kulipwa fidia ya gharama za safari.


“Utaratibu uliopo sasa hivi Caf wanateua waamuzi kwenda kuchezesha mashindano mbalimb... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More